KATIBU Mkuu wa Chadema Dk Willbrod Slaa:Nimesikitishwa Sana na mahudhurio ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeeo( Chadema), Dk Willbrod
Slaa jana alizungumzia kukatishwa kwake tamaa na mahudhurio ya wajumbe
wa mkutano mkuu wa chama hicho Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Dk Slaa alisema hayo jana wakati wa Mkutano Mkuu wa jimbo hilo baada ya mahudhurio kuwa hafifu.
Alisema asilimia 50 ya mahudhurio ya wajumbe katika jimbo hilo ni aibu
na yanatia shaka iwapo wana nia ya dhati ya kushika dola mwaka 2015.
“Dalili hii inaonyesha kwamba kuna tatizo, hivyo kupitia mkutano huu
tutayamaliza na kurudisha ufanisi wa chama” alisema Dk Slaa na kuongeza:
“Chadema ni chama ambacho kinajiandaa kushika dola mwaka 2015, endapo
hali hii itaendelea ya wajumbe kutafutana kwa njia ya simu itakuwa
hatari wakati wa kuunda baraza la mawaziri” alisema na kuongeza:
“Haiwezekani Rais akawa anatafuta baraza la mawaziri kwa njia ya simu,
kwani bila kujipanga wakati huu itakuwa ngumu huko mbele tunakokwenda,”
alisema.
Katika mazungumzo yake Dk Slaa alisema, wanakusudia kutoa tamko la nini
ifanyike kuhusu mauaji mbalimbali ya wananchi yalifanywa na polisi baada
ya Rais Jakaya Kikwete kushindwa kuwachukulia hatua Waziri wa Mambo ya
Ndani , Dk Emmanuel Nchimbi, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Saidi Mwema
na Kamanda wa Mkoa wa Iringa Michael Kamhanda.
“Hatuwezi kutulia huku tukiona vyombo ambavyo vinatakiwa kulinda usalama
wa raia ndio vinakuwa vya kwanza kuwaua raia wasiokuwa na hatia huku
kiongozi wa nchini (Rais Kikwete) akiwa kimya bila kutoa tamko lolote,”
alisema.
Katika mkutano huo, wajumbe walitakiwa kufika mapema kwa ajili ya kuanza
kwa mkutano saa 4 hadi saa 6 mchana, lakini kutokana na ufinyu wa
mahudhurio, mkutano huo ulianza saa 6.47 mchana.
Sifa zimwendee Mwenyekiti wa Chama hicho Jimbo la Kinondoni, Deo Mushi
ambaye alifanya kazi ya kuwatafuta wajumbe hao kwa njia ya simu ili
kutimiza idadi ya asilimia 50.
Mratibu wa Mkutano huo, Mkurungenzi wa Sera na Utafiti wa Chama hicho,
Chacha Mwita, alisema wajumbe waliokuwa wamefika walikuwa hawana uwezo
wa kuruhusu kufanyika kwa mkutano huo.
Mwita alisema idadi ambayo inatakiwa ya wajumbe wote ni zaidi ya 120, lakini waliokuwa wamefika walikuwa hawazidi 50
NGASA AFUNGA GOLI 5 KILI STARS IKISHINDA 7-0 DHIDI YA SOMALIA
Kikosi cha Kilimanjaro Stars kilichopambana na timu ay Somalia
katika mchezo wa michuano ya Tusker Cecafa Challenge Cup uliofanyika
katika Uwanja wa Lugogo nchini Uganda leo na kushinda kwa goli 7-0.
Magoli ya Kilimanjarto Star yakipachikwa na Mrisho Ngasa (5) na John
Boko (2).
Mrisho Ngassa akishangilia moja ya goli kati ya matano
aliyofunga wakati wa mchezo na Somalia uliochezwa katika Uwanja wa
Lugogo nchini Uganda.
Kwa hisani ya Blog ya Father Kidevu
IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA KUHUDHURIA KIKAO CHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI NAIROBI, KENYA.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia Rais Mwai Kibaki wa Kenya
akimkabidhi nyundo Rais Yoweri Muzeveni kama ishara ya kukabidhi
Uienyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Kenya
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kijana Joel Adagson Mwigomole kwa
kuibuka mshindi wa pili wa kuandika Insha kwa wanafunzi wa nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa mkutano wa nne wa
Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi, Kenya. Joel ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika
shule ya sekondari ya Mzumbe, Morogoro.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Museveni wa Uganda
akimpongeza kijana Joel Adagson Mwigomole kwa kuibuka mshindi wa pili wa
kuandika Insha kwa wanafunzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki wakati wa mkutano wa nne wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi, Kenya.Joel ni
mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya Mzumbe,
Morogoro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki wakishuhudia utiwaji saini mkataba wa haja
ya kuwepo kwa ushirikiano wa kibiashara kati ya Marekani na nchi za
Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi, Kenya.Zoezi hili lilifanywa baina ya Mawaziri wa Bishara
wa nchi wanachama wa Jumuiya na Kaimu Waziri wa Bishara wa Marekani Bi
Rebecca Blank aliyehudhuria kikao hicho.
Ujumbe
wa Tanzania katika mkutano wa nne wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi,
Kenya
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wenzie wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki na washiriki mwishoni mwa kikao cha nne cha
Jumuiya nje ya Jengo la Mikutano wa Kimataifa la Jomo Kenyatta jijini
Nairobi, Kenya.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa kwa heshima wakati anaondoka jijini Nairobi, Kenya.Picha na IKULU
TASWIRA:MALI ZA MAREHEMU SHARO MILIONEA ZAANZA KUREJESHWA
Baadhi
ya vitu vya marehemu Sharo milionea vilivyokamatwa baada ya msako mkali
baina ya Polisi na wananchi wa Kijiji Songa Kibaoni.
---
Na Mashaka Mhando,Tanga
WATU
wanaosadikiwa kuiba vitu vya marehemu Hussein Mkiety maarufu kwa jina
la 'Sharo Milionea' aliyefariki kwa ajali ya gari katika kijiji cha
Songa Kibaoni wilayani Muheza Novemba 26 mwaka huu, wamesalimisha
baadhi ya vitu hivyo kwa mwenyekiti wa Kijiji hicho huku wakiendelea
kuishi mafichoni kuogopa kutiwa mbaroni.
Watu
hao wamesalimisha vitu hivyo baada ya Mkuu wa wilaya ya Muheza Subira
Mgalu ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kuwatangazia
kwamba wale wote waliomwibia marehemu watasakwa na kuchukuliwa hatua za
kisheria kufutia kitendo walichokifanya kutokuwa cha kiungwana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana Rais wa Burundi, Pierre
Nkurunzinza kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro,baada ya
sherehe za uzinduzi wa jengo la O(fisi kuu za Jumuiya ya Afrika
Mashariki mjini Arusha Novemba 28, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Klaus-Peter Brandes Amtembelea Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiwa pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Klaus-Peter Brandes mara alipomtembelea Profesa Muhongo ofisini kwake. Balozi
huyo aliongozana na watendaji kutoka kampuni ya Koch Engineering &
Construction ya nchini Ujerumani ambao wanania ya kuwekeza katika
miradi ya nishati ikiwamo gesi asilia, umeme wa upepo, jua pamoja na
kuwekeza katika viwanda vya uzalishaji mbolea.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akimuonesha Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Klaus-Peter
Brandes ramani ya bomba la kusafirisha gesi asili kutoka Mnazi Bay
Mtwara na Songosongo hadi Dar es Salaam. Profesa Muhongo alimueleza
mheshimiwa Balozikuwa Serikali ina mpango wa kuzalisha umeme kwa njia ya gesi katika eneo la Somangafungu. Picha na Afisa Habari -Wizara ya Nishati na Madini.
MMILIKI WA GARI ALIYOPATA NAYO AJALI MAREHEMU SHARO MILLIONEA AJITOKEZA NA KUSEMA HAIDAI CHOCHOTE FAMILIA YA MAREHEMU
Gari
aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa
akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo
Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga
Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na
mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Baadhi
ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za
usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki
Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam
kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo
Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule
Muheza Tanga.
Gari
aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa
akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo
Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga
Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na
mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Mbunge
wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha
Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia
mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa katika ajali ya gari wakati
akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani Tanga, ajali hiyo
imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni jana usiku.
Wakazi
wa wilaya ya Muheza na maeneo mengine wakiwa wamefurika nje ya Chumba
cha Maiti cha Hospitali Teule Muheza, kusubiri kushuhudia mwili wa Sharo
Millionea, aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa jana.Picha Zote na
Ahmed Khatib-Tanga
MMILIKI
wa gari ambalo lilikuwa likiendeshwa na msanii maarufu nchini, Hussein Ramadhan
‘Sharo Milionea’ na kupata nalo ajali iliyosababisha kifo chake huko Muheza,
Tanga, Mohammed Ismaili maarufu kwa jina la Mudi Suma, ameibuka na kueleza
uhusiano wake na marehemu, huku akisema amekubali hasara.
Akizungumza
kwa simu kutoka Muheza jana Suma alisema hana mpango wa kudai fidia au kupeleka
malalamiko yoyote kwa ndugu wa marehemu kwa kuwa; “Kilichotokea ni kazi ya
Mungu.” “Siwezi kudai hata kidogo hivyo ni vitu vya kupita tu.
Marehemu alikuwa ni zaidi ya ndugu yangu, gari ni kitu kidogo sana katika uhusiano tuliokuwa nao,” alisema Suma na kuongeza kwamba hata Marehemu Sharo Milionea naye alikuwa amemwachia mali zake kadhaa ikiwamo gari. “Siyo gari tu alilokuwa ameniachia. Kuna mikataba yake ya kazi, Bajaji yake na funguo za chumbani kwake. Nasubiri kukabidhi vitu hivyo baada ya kukaa na ndugu zake. Vitu viko kwenye mikono salama,” alisema.
Marehemu alikuwa ni zaidi ya ndugu yangu, gari ni kitu kidogo sana katika uhusiano tuliokuwa nao,” alisema Suma na kuongeza kwamba hata Marehemu Sharo Milionea naye alikuwa amemwachia mali zake kadhaa ikiwamo gari. “Siyo gari tu alilokuwa ameniachia. Kuna mikataba yake ya kazi, Bajaji yake na funguo za chumbani kwake. Nasubiri kukabidhi vitu hivyo baada ya kukaa na ndugu zake. Vitu viko kwenye mikono salama,” alisema.
Kuhusu
gari lake lililopata ajali, Suma alisema lilikuwa na bima ndogo, lakini anapanga
kwenda TRA atakaporejea Dar es Salaam kufuatilia baadhi ya mambo.
“Kabla ya
kuondoka bima ile kubwa ilikuwa imekwisha kwa hiyo nikaamua kuikatia bima ndogo.
Nitakapofika kesho (leo) Dar es Salaam, nategemea kwenda ofisi za bima
kuzungumza nao,” alisema Suma. Alipoulizwa kama kuna mtu mwingine
atakayeathirika kutokana na gari hilo kuharibika katika ajali mbali na yeye,
alijibu: “Hakuna tofauti na mimi mwenyewe na familia yangu.”
TAHADHARI: UTAPELI MKUBWA WAIBUKA JIJINI DAR.
New Tannesco LUKU Sceme In Dar !
Reported by some one in the Diplomatic community.
Dear Colleagues,
Yesterday around midday, 9 men invaded my compound in
Mbezi Beach while I was at work. They claimed to have come from Tanesco HQ and
were there to inspect the LUKU meter. The house was locked so they could not
access the meter. They harassed my guard and threatened to take him to the
police station if he did not call me. The guard called me and I spoke to the
men on their phone.
The purported inspector told me that they had used a
GPS machine to measure the activity of my LUKU machine, and found it defective.
He told me that he would assist me to correct the problem instead of referring
the matter to Tanesco Office, but he needed some money to do this. I told him
my guard does not keep money and asked him to come to UNICEF. He and four other
men came to UNICEF but refused to enter the compound. I and one of the KK
guards went out to talk to them. They asked for Tzs 3 million. I tried to get
them to move closer to the gate so that people would see their faces but
failed. They were very guarded and the vehicle they used had very dark tints on
windows. They left after a few minutes.
I refused to give them money and they left, threatening
to go and disconnect power at my house.
I called Tanesco for advice and was forwarded to the
security section. The security personnel advised me not to take any action
before they got here. When they arrived, I narrated the whole story to them.
They were quick to point out that the inspectors were fake. Tanesco does not
use GPS to measure anything. The 9 men were con-men popularly called
"vishoka" who have been terrorizing Mbezi, Ubungo and Kigamboni for
money. He informed me that 6 such men were caught the day before and were being
held at the Central Police Station. It was his guess that the men who came to
my house and that of another lady in Ubungo were looking for money to bail out
their colleagues, which would explain their aggressive behavior. I gave them
the phone number of the person who called...and the number plate of the
vehicle.
Be careful of anyone calling himself Sadiki Kanya:
0716652020
The security personnel asked me to warn my colleagues
and friends and to share the below telephone numbers. If you experience any
disturbance from vishokas, please call:
Francis Maze: 0777/0762450226
Eng Sangiwa: 0765110070
Godfrey Lyimo: 0767553324
Tom: 0754984287
Please warn guards and helpers at your residence. The
group barging into the compound will comprise not less than 6 people. They must
be prepared not to open the gate and must call for help immediately. If the men
make it into the compound, it will be virtually impossible to control the
situation. They have strength in numbers. They are loud, aggressive and very
well-dressed (and well-fed!), with authentic-looking Tanesco ID cards, forms,
cameras etc. The was even one man bearing what looked like BBC ID, representing
the media.
Taasisi ya Catherine Magige Foundation yazinduliwa jijini Arusha leo
Mbunge wa viti maalum vijana CCM mkoani Arusha Catherine Magige akiwa na baadhi ya vijana wakibadilishana mawazo kabla ya uzinduzi ulioenda sambamba na hafla ya utoaji wa msaada wa baiskeli za walemavu kutoka kwa Taasisi ya Catherine Foundation kwenye viwanja vya ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi.Picha na( Mahmoud Ahmad Arusha)
Mbunge
wa viti maalum Bi Catherine Maggige akisomama taarifa ya aasisi yake
ilivyoanza kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi
waliohudhuria uzinduzi huo wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu
wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akiwa na mbunge wa viti
maalum Bi. Catherine Maggige wanawakabidhi zawadi ya baiskeli kwa
walemavu watatu kwa niaba ya walemavu 20 waliopewa baiskeli hizo.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh. John Mongela akizungumza na vyombo vya habari katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Arusha
WASHIRIKI SHINDANO LA ‘THE MIC KING’ WATAMBULISHWA RASMI
WASHIRIKI SHINDANO LA ‘THE MIC KING’ WATAMBULISHWA RASMI
Washiriki wa shindano hilo wakiwa katika pozi la pamoja.
Meneja matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho, akielezea namna burudani zitakavyopamba za kesho ndani ya ukumbi huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na washiriki wa shindano hilo wakisikiliza ufafanuzi wa waandaji wa mchakato huo.
Mratibu wa shindano la The Mic King, Luqman Maloto (katikati), akielezea kwa ufasaha mchakato wa kuwapata washiriki hao ulivyofanyika.
Washiriki wakisikiliza kwa makini utambulisho wao kwa wanahabari leo.
Washiriki wa shindano hilo wakiwa katika pozi la pamoja.
—
WASHRIKI wa shindano la The Mic King linaloratibiwa na uongozi
wa Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live, leo wametambulishwa rasmi
kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya hapa nchini.
Utambulisho huo umefanyika ndani ya Ukumbi wa The Atriums Hotel iliyoko Sinza-Afrika Sana jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika hafla hiyo, Mratibu wa Shindano hilo, Luqman
Maloto, alisema amelazimika kutoa utambulisho huo leo kwa kuwa kesho
washiriki hao watachujwa ndani ya Ukumbi wa Dar Live kwa mara ya kwanza
tangu walipoingia kwenye Top 20.
Maloto amewaomba mashabiki wa burudani waje kwa wingi kesho
ndani ya ukumbi huo ili waweze kujipatia fursa ya kumchangua mkali
katika shindano hilo ambalo fainali zake zinatarajiwa kufanyika Machi
mwaka ujao.
Pia meneja matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho, amesema kesho
katika utambulisho huo kutakuwa na shoo ya nguvu inayofahamika kwa jina
la Usiku wa Wanyama, ambapo wasanii kibao mashuhuri watatumbuiza.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)
Surface argument is more of the same from Google's Motorola on patent royalties
While I can't attend this one physically, I have been following this case closely ever since it started two years ago and there are great online resources to find out about developments in Seattle. I have set up a public Twitter list named MicrosoftMotoFRANDtrial, replicating the tweets from several reporters who reported from the courtroom. Here are links to several media reports on the first day (in alphabetical order):
- Geekwire (1): Microsoft vs. Motorola patent trial begins, with brief Xbox 'Durango' mention
- Geekwire (2): Motorola wants to collect royalties on Microsoft Surface, too
- Seattle Times: Microsoft, Motorola patent trial starts
- Techflash: Motorola/Google patent trial starts with testimony from Microsoft execs
- Wall Street Journal (subscription may be required): Microsoft, Motorola Face Off Over Standard Essential Patents
Unless Motorola's own witnesses can provide some really good reasons for this change of mind, its earlier position on the appropriate H.264 royalty rate will strongly undermine the positions it takes today.
I'm actually not surprised that Motorola took an innovation- and consumer-friendly position years ago. There may be cases in which contributors to standards engage in long-term ambush strategies, starting with violations of their disclosure obligations and other attempts to manipulate the standard-setting process. But it appears that in most cases companies are constructive participants in the process -- not necessarily saints though -- and just change their approach later, either because patent monetization becomes a higher priority to them (typically after their operating business shrinks) or because they have a major infringement problem and hope that standard-essential patents give them leverage for cross-license agreements that allow them to get away with their infringement of non-standard-essential patents. In a recent post I said that "I'm inclined to believe that Samsung used to be a good citizen of the standard-setting universe until it got sued by Apple and decided to cling to its SEPs as a strategic weapon, in an act of desperation because it lacks powerful non-standard-essential patents of the kind that would give it leverage against Apple."
Unlike Samsung, which apparently played a defensive role in connection with SEPs until the dispute with Apple began, Motorola has previously been somewhat aggressive in SEP assertions (such as against Research In Motion). Still, it may have been much more reasonable when the MPEG LA pool was being formed -- or (which I don't know and won't be able to find out) it may have had bad intentions from the beginning, participating in those talks in bad faith in order to bring down prices and ultimately deciding to monetize its H.264 SEPs on its own in a rent-seeking effort. Whatever Motorola's motivation may have been, the discrepancy between the positions it took then and the ones it takes now reflects unfavorably on it in this FRAND contract litigation. It will have some explaining to do.
Reporters noted yesterday that the next-generation Xbox gaming console, codenamed Durango, and the Surface tablet were mentioned. That's mostly because Google (Motorola) tries to argue that new and upcoming devices complicate the FRAND rate-setting process. It suggests that over time it will be entitled to higher royalties because of changes to Microsoft's product offerings. Here's a very telling passage from its trial brief:
"Microsoft's new Surface tablet will use only 802.11, instead of cellular or wired connections, to connect to the internet. [...] Without 802.11 capability, the Surface tablet would be unable to compete in the market, because consumers can readily select tablet devices other than the Surface that have 802.11 capability."The first sentence states an undeniable truth, though I don't know if cellular versions of the Surface tablet will at some point become available. The second sentence mirrors Motorola's hold-up logic: you need to implement the standard so you must pay a lot for anybody's patents declared essential to the standard. The less of a choice you have, the higher the price will be. But that's not the way to calculate a FRAND royalty. I'll just quote Judge Posner on this:
"There is another decisive objection to Motorola's damages claim. The proper method of computing a FRAND royalty starts with what the cost to the licensee would have been of obtaining, just before the patented invention was declared essential to compliance with the industry standard, a license for the function performed by the patent. That cost would be a measure of the value of the patent qua patent. But once a patent becomes essential to a standard, the patentee's bargaining power surges because a prospective licensee has no alternative to licensing the patent; he is at the patentee's mercy. The purpose of the FRAND requirements, the validity of which Motorola doesn't question, is to confine the patentee's royalty demand to the value conferred by the patent itself as distinct from the additional value--the hold-up value--conferred by the patent's being designated as standard-essential. Broadcom Corp. v. Qualcomm Inc., 501 F.3d 297, 313–14 (3d Cir. 2007); Daniel G. Swanson & William J. Baumol, 'Reasonable and Nondiscriminatory (RAND) Royalties, Standards Selection, and Control of Market Power,' 73 Antitrust L.J. 1, 7–11 (2005). Motorola has provided no evidence for calculating a reasonable royalty that would be consistent with this point."Motorola didn't create wireless networking as a whole. It would be possible to build fully functional wireless networks without infringing on its IEEE 802.11 declared-essential patents -- there are alternatives to all of the techniques covered by those patents, but after the industry at large agreed to make IEEE 802.11 the WiFi standard, those alternatives, no matter how good they are in a technical sense, wouldn't allow users to connect with existing WiFi infrastructure.
There's another reason for which I doubt that Motorola will get much mileage out of the Surface argument. The other big issue -- besides hold-up value -- is apportionment. It doesn't really matter that Microsoft now sells WiFi-capable tablets. Even if Microsoft surprisingly started to build airplanes or Mars rovers with built-in WiFi capability, this foray into new strategic business areas wouldn't have any bearing on the value of all IEEE 802.11 SEPs it licenses, or on the relative value of Motorola's patents compared to other IEEE 802.11 SEPs. The Surface features a greater diversity of functionality than the Xbox gaming console (which is also a multifunctional home entertainment system but not a multi-purpose computer like the Surface). That's why its price is higher than that of the Xbox. But the price differential is unrelated to the contributions of IEEE 802.11 to the product, and to Motorola's contributions to IEEE 802.11.
Motorola basically argues that without WiFi, the Surface can't connect to the Internet, but that doesn't make Motorola a key enabler of the multiplicity of functionalities the Surface has on board.
It's really difficult to see what Motorola hopes to achieve by repeating, in different ways, shapes and forms, the same hold-up arguments. At least in the United States it doesn't appear to be a winning strategy. Maybe its strategy will become clearer as the trial unfolds.
The trial is scheduled to run until November 21, 2012, the day before the Thanksgiving holiday, and a FRAND rate-setting decision is apparently not expected before late December at the earliest, and more likely, in early 2013. And my guess is that Google (which micromanages Motorola's patent lawsuits) won't like the result, which is unlikely to be anywhere near the 2.25% royalty rate it demands, and will appeal -- unless the parties can reach an agreement in the meantime, which probably depends mostly on Google's willingness to accept that the FRAND value of Motorola's SEPs is entirely detached from the $12.5 billion it paid to acquire the company.
Tuesday, November 13, 2012
Microsoft-Motorola FRAND dispute is also relevant to standards-implementing startups
Any trial at which two companies of the Microsoft and Google kind clash is important in its own right. And when industry standards are at issue, other tech giants are keeping a close eye on developments and on what could set a key precedent for future disputes over standard-essential patents. A similar trial involving Apple was canceled last week, making today's FRAND trial the first one at which a U.S. court will determine a FRAND license fee for SEPs.
I mostly blog about litigation involving major industry players like these, but I also try to take into consideration the transcendental importance of certain issues to the industry at large -- including small companies and even some that haven't been founded yet but will have to deal with this matter once they reach a certain size.
Yesterday another blogger, Lo Min Ming, published an interesting statistic: "A billion dollar software tech company is founded every 3 months in [the] U.S."
Every single one of these companies implements industry standards in some fashion, and most of them could be put out of business by a FRAND abuser who seeks, wins and enforces injunctive relief after making totally outrageous royalty demands that no responsible business can meet. Even if you can accept such demands a couple of times without necessarily going out of business, there's no way that you can have a viable company if every holder of standard-essential patents makes demands of that kind -- this dilemma is known as "royalty stacking".
Companies that are only a few years old will own very few patents given how long examination takes. And if a company is, say, ten years old, it may already own a number of key non-standard-essential patents, but it's unlikely to hold SEPs, which requires a company to be an influential participant in a standard-setting process.
If Google's Motorola Mobility got its way, SEPs could be used as a nuclear weapon to drive out of business any newcomers depending on the implementation of critical standards. Google wants SEPs to have the effect of mutually assured destruction: if two companies hold SEPs and implement standards on which the other party holds essential patents, they'll have to cross-license (without compensation, or only for very little money) all of their patents (including non-standard-essential ones) or everyone's products will be banned.
While there's only a minority of companies in the industry that shares this vision, Google is not the only one. For example, I also criticized a letter that BlackBerry maker Research In Motion sent to the ITC. In that letter, RIM basically argued that SEP injunctions must be allowed as a response to non-SEP assertions. That's exactly what I just described: the notion of SEPs creating a balance of terror between all those who own them.
I can't and won't support this approach. Apple's newly-minted license deal with HTC and 14 other Android-related license deals announced over the last couple of years prove that reasonable people can resolve disputes over non-standard-essential patents through licensing. I don't think SEP abuse is needed as a response to non-SEP infringement problems of the kind that Google's Android operating system faces.
Even if -- just for the sake of the argument -- one wanted to take the position that Google and RIM's proposal of mutually assured destruction based on SEPs would serve competition in the wireless technology industry well, any proposal must also be evaluated from the perspective of the next billion-dollar tech companies. Unlike Google or RIM, those companies won't be members of the club of SEP holders, at least not in the foreseeable future. Further down the road they may also own SEPs, but before they ever get there, an SEP-owning rival could do serious damage to them through hold-up (including the possibiltiy that new entrants can't leverage the non-standard-essential patents they need to protect their innovation) or, in a worst-scenario, force them out of business if the courts leave the door open to FRAND abuse.
There's a lot that the courts can do to ensure that new entrants will always be able to implement standards on FRAND terms. In the United States, the two most important cases that are pending in this regard are Motorola's Federal Circuit appeal of the FRAND part of Judge Posner's Apple v, Motorola ruling and the FRAND contract case starting in Seattle today. I've already seen the first few tweets out of the courtroom, which reporters say is "packed". If Posner's ruling is affirmed, abusers can't win U.S. injunctions over SEPs, and if Microsoft prevails over Motorola Mobility, an important precedent will be set for the ability of implementers of industry standards to enforce in a meaningful way their entitlement to a license on FRAND terms. That's what's at stake in these two landmark FRAND cases.
Tuesday, November 13, 2012
HTC's biggest patent worry after Apple settlement: 32 Nokia patent assertions in five venues
I believe in a Nokia-HTC license deal for two reasons. One, Nokia has some really powerful non-standard-essential patents. Its SEPs are broadly licensed, but its non-SEPs account for almost 90% of its portfolio of 10,000 patent families and companies like HTC still need to license it. Two, HTC has proven in the past that it's not interested in endless court fights but quite willing to pay royalties to patent holders. In particular, HTC doesn't have a problem with being the first Android device maker to strike a deal with a given right holder, even though Google is presumably unhappy about the fact that HTC's willingness to enter into royalty-bearing license agreements validates certain infringement allegations against Android and adds pressure on the rest of the Android ecosystem to follow suit and pay up. HTC is simply doing what's best for HTC, just like Google is doing what's best for Google.
In May, Nokia brought an ITC complaint against HTC, federal lawsuits in Delaware against HTC and ViewSonic (a smaller Android device maker), and German lawsuits in three cities (Munich, Mannheim and Düsseldorf) against all three defendants.
HTC and ViewSonic were trying to get Nokia's Delaware lawsuits stayed; ViewSonic was also trying, as a second choice, to have them transferred to California. HTC was previously quite successful with stalling dozens of Apple's patent assertions. It convinced the Delaware-based court to stay all of Apple's offensive cases, not only a companion case to an ITC proceeding. Federal lawsuits mirroring ITC complaints are always stayed pending resolution of the ITC investigation (including appeals) if a defendant so requests. But it's less common that courts also stay other cases involving the same parties only because of some limited overlap in terms of inventors and accused products. HTC tried against Nokia what worked against Apple, but on Friday Judge Leonard P. Stark, the federal judge presiding over Nokia's Delaware actions against HTC and ViewSonic denied all these motions. These actions won't be stayed or transferred, at least at this stage.
The first four Nokia v. HTC court hearings in Germany, three of which are already trials, will be held before the end of the year:
- On November 21, the Munich I Regional Court will hold a first hearing on Nokia's infringement claims against HTC (and ViewSonic and RIM) over EP1322072 on "a mobile communication system and a method for connecting a remote workstation to a data communication network via a mobile communication network".
- The Munich I Regional Court will hold a first hearing (I don't knwo yet which patent it relates to) on December 12.
- Two days later, the Mannheim Regional Court will hold two trials, one over EP1329982 on an "antenna for wireless communications devices" and the other over EP0812120 on a "method for using services offered by a telecommunication network, a telecommunication system and a terminal for it".
Here's a complete list of the 32 Nokia v. HTC patents-in-suit along with the venues in which the assertions were brought:
- U.S. Patent No. 5,570,369 and EP0673175 on "reduction of power consumption in a mobile station" (ITC, Delaware, and Mannheim)
- U.S. Patent No. 5,884,190 on a "method for making a data transmission connection from a computer to a mobile communication network for transmission of analog and/or digital signals [tethering]" (ITC, Delaware)
- U.S. Patent No. 6,393,260 on a "method for attenuating spurious signals and receiver" (ITC and Delaware)
- U.S. Patent No. 7,415,247 and EP1133831 on a "method and arrangement for transmitting and receiving RF signals through various radio interfaces of communication systems" (ITC, Delaware, and Düsseldorf)
- EP0882375 on a "communication network terminal supporting a plurality of applications" (Mannheim)
- EP1439723 on a "communication network terminal supporting a plurality of applications" (Mannheim)
- U.S. Patent No. 7,366,529 on a "communication network terminal supporting a plurality of applications" (ITC and Delaware)
- U.S. Patent No. 6,728,530 on a "calendar-display apparatus, and associated method, for a mobile terminal" (withdrawn from ITC investigation, still being asserted in Delaware)
- U.S. Patent No. 7,106,293 on a "lighting control method and electronic device" and EP1312974 on an "electronic display device and lighting control method of same" (ITC, Delaware, and Mannheim)
- U.S. Patent No. 6,141,664 on "synchronisation of databases with date range" (ITC and Delaware)
- U.S. Patent No. 7,209,911 on "synchronisation of databases using filters" (ITC and Delaware)
- U.S. Patent No. 5,878,351 on "methods and apparatus for providing delayed transmission of SMS delivery acknowledgement, manual acknowledgement and SMS messages" (Delaware)
- U.S. Patent No. 6,865,404 on a "handset" (Delaware)
- U.S. Patent No. 6,647,370 on a "system and methods for scheduling and tracking events across multiple time zones" (Delaware)
- U.S. Patent No. 6,349,263 on an "integrated position and direction system" (Delaware)
- U.S. Patent No. 6,587,788 on an "integrated position and direction system with radio communication for updating data" (Delaware)
- U.S. Patent No. 7,460,953 on a "method of operating a navigation system using images" (Delaware)
- U.S. Patent No. 6,882,870 on a "personal mobile communications device having multiple units" (Delaware)
- U.S. Patent No. 6,788,798 on a "method and arrangement for improving leak tolerance of an earpiece" (Delaware))
- U.S. Patent No. 5,895,884 on a "shielding device with push fit lid" (Delaware)
- EP0998024 on a "modulator structure for a transmitter and a mobile station" (Düsseldorf)
- EP1581015 on "a communication network terminal with menus" (Delaware)
- EP1516269 on a "system, apparatus, and method for effecting network connections via wireless devices using radio frequency identification" (Düsseldorf)
- EP0812120 on a "method for using services offered by a telecommunication network, a telecommunication system and a terminal for it" (Mannheim)
- EP1581016 on "a communication network terminal for accessing internet" (Mannheim)
- EP0792077 on a "multi-service mobile station" (Mannheim)
- EP1329982 on an "antenna for wireless communications devices" (Mannheim)
- EP1474750 on a "method and system for storing and transferring multimedia tags" (Mannheim; see this report on a recent Munich court hearing on the assertion of this patent against RIM)
- EP0882347 on "a radio telephone" (Mannheim)
- EP1246071 on a "method of configuring electronic devices" (Munich)
- EP1322072 on "a mobile communication system and a method for connecting a remote workstation to a data communication network via a mobile communication network" (Munich)
- EP0982959 on a "mobile telephone user interface for short messages" (Munich)
MGOMBEA wa Urais wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Barack Obama tayari ameshinda uchaguzi huo. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata kutoka vyanzo vyake nchini Marekani Obama ameshinda katika majimbo 281 kiwango ambacho mpinzani wake Mitt Romney wa chama cha Republican hawezi kukifikia tena kwa sasa.
Ingawa idadi fulani ya kura bado inahesabiwa mshindi katika kiti hicho inatakiwa angalau ashinde katika majimbo 270, kiwango ambacho Obama kwa sasa amekivuka hadi muda huu.
Romney hadi sasa ameambulia ushindi wa kura za majimbo 203 tu. Kikawaida ili mgombea aweze kushinda uchaguzi wa Marekani, mgombea anahitaji kupata angalau kura 270 katika majimbo.
DK. HARRISON MWAKYEMBE APOKEA TAARIFA YA KAMATI ILIYOUNDWA KUCHUNGUZA UTENDAJI KAZI WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA).
Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison
Mwakyembe akipokea taarifa ya kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Bw
Bernard Mbakileki Wizarani Leo. Kamati hiyo ya watu wanane iliundwa
tarehe 27 Agosti 2012 kwa ajili ya kuchunguza utendaji kazi wa Mamlaka
ya Bandari Tanzania (TPA).Waziri wa Uchukuzi ameiahidi Kamati kuwa kila
kipengele walichoshauri kwenye ripoti hiyo kitachukuliwa hatua na Mpaka
Disemba mwaka huu Utekelezaji wa Mapendekezo ya ripoti yatakuwa
yametekelezwa yote.
Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa
kuchunguza Utendaji kazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Bw.
Bernard Mbakileki akionyesha Magazeti mbalimbali kwa Waziri wa
Uchukuzi,Watendaji wa taasisi za Wizara Uchukuzi pamoja na waandishi wa
habari hawapo pichani yaliyokuwa yakiripoti mambo mbalimbali wakati
uchunguzi huo ulipokuwa ukiendelea.
Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison
Mwakyembe akipokea ripoti ya Kamati iliyoundwa Kuchunguza Utendaji kazi
wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati
hiyo Bw Benard Mbakileki,Kushoto kwa Waziri Mwakyembe ni Naibu Waziri wa
Wizara ya Uchukuzi, Dkt Charles Tizeba, na Kushoto kwa Naibu Waziri
huyo ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Omar Chambo.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt.
Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo
Pichani)baada ya kupokea taarifa ya Kamati ya watu wanane aliyoiunda
kwa ajili ya kuchunguza Utendaji kazi wa Mamlaka ya Bandari
Tanzania(TPA).Waziri Mwakyembe alisisitiza kuwa mapendekezo yalioandikwa
kwenye ripoti hiyo yatafanyiwa kazi na kila aliyehusika na ubadhilifu
atachukuliwa hatua.
VERY IMPORTANT;TAHADHARI KUHUSU MABOMU 30 TOKA MALAWI
Kuna taarifa kwenye mitandao ya simu inayoendelea
kutolewa kwenye message za simu kwamba kuna Mabomu zaidi ya 30 yenye uzito
usiopungua tani 100 na kuwataka wananchi katika mikoa ya Tanzania iliyo jirani
na Malawi kuwa waangalifu.
Taarifa hiyo
imetaka wenye wasiwasi kuhusu taarifa hiyo wapige simu 0756000042. Taarifa hiyo imedai kwamba imetolewa na Jeshi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Tunapenda kutoa taarifa kwamba taarifa hizo siyo za kweli na lengo lake haliwezi kuwa zuri kwa Watanzania.
Wananchi wanashauriwa kutotuma taarifa zozote kwenye namba hiyo ama kuziamini taarifa za aina hiyo.
Tunapenda kutoa taarifa kwamba taarifa hizo siyo za kweli na lengo lake haliwezi kuwa zuri kwa Watanzania.
Wananchi wanashauriwa kutotuma taarifa zozote kwenye namba hiyo ama kuziamini taarifa za aina hiyo.
Assah Mwambene
Mkurugenzi, Idara ya Habari Maelezo.
SHYROSE BHANJI ALETA TAFRANI KWENYE UCHAGUZI WA UWT, NUSUSA APATE KIPIGO KUTOKA KWA WAPAMBE WA SOPHIA SIMBA.
Shyrose akikwaruzana na wapambe wa Sophia Simba ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania.
Jana wakati wa uchaguzi wa
jumuiya ya wanawake wa CCM nusura uchaguzi huo uingie doa baada ya
tafrani kutokea pale Mh. Mbunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki Shyrose
Bhanji alipomuuliza swali mgombea wa kiti cha Uenyekiti wa jumuiya hiyo
Mh.Sophia Simba kutaka kujua kama kiongozi huyo wakati wa utawala wake
wa jumuiya hiyo alijitahidi kiasi gani kuifanya jumuiya hiyo iweze
kuongeza wanachama!! na kujikuta Mh. Shyrose akiambulia jibu la kuambiwa
yeye ni mgeni kwenye jumuiya hiyo na hajui lolote.
Jibu hilo inaonekana
halikumridhisha Mh. huyo wa Afrika mashariki na kuamua kumfuata Mgombea
baada ya kushuka na kurushiana naye maneno ya kashfa mpaka palewatu wa
usalama walipotokea na kuituliza tafrani hiyo kwa kumtoa nje Mh. Shyrose
na mambo mengine kuendelea.
Hata hivyo Mh. Simba alishinda Uchaguzi huo kwa mara nyingine katika ngazi ya Uenyekiti wa jumuiya hiyo Taifa.
YANGA WAKABIDHIWA JEZI ZA DOA JEUSI WALIZOTAKA
Meneja
Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu akionesha
jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa jeusi. (Picha na Habri Mseto
Blog)
Kaimu
Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako (kati) akipokea jezi walizokabidhiwa na
Vodacom zikiwa na doa jeusi kutoka kwa Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya
Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu (kushoto). Kulia ni Ofisa Udhamini wa
kampuni hiyo, Ibrahim Kaude
Ushauri wa kizushi: Kuna Mdau anashauri wana Yanga hata kama Vodacom wakiwapa hela za kuendeshea timu katika msimu wawape masharti ya kuto kuwapa NOTI ZA ELFU KUMI
kwa sababu ni nyekundu na masharti hayo pia wakilipwa kwa cheki
wakienda Benki wakatae noti hizo wachukue noti za jelo jelo tu .
Fukuto kubwa limeanza ndani
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, kutokana na baadhi ya
wanachama kuhoji uhalali wa ukoo wa Kikwete kushika nafasi nyeti karibu
zote katika Kamati ya Siasa ya wilaya hiyo.
Ukoo huo umehakikisha unashika nafasi zote za juu, ikiwamo ya Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya hiyo iliyokwenda kwa Shaibu Mtawa.
Mtawa alipata kura 811 na
kumshinda Mohamed Mrisho Kikwete aliyepata kura 613. Mtawa na Mohamed
wote ni ndugu wa damu wa Rais Kikwete.
Habari za uhakika kutoka miongoni
mwa wanachama, zinasema majina ya wanandugu hao yalipendekezwa kutoka
miongoni mwa wanachama 13. Wengi wao walikatwa kuanzia ngazi ya wilaya,
mkoa na kuhitimishwa kwenye vikao vya kitaifa ambavyo Mwenyekiti wake ni
Rais Kikwete.
Katika ngazi hiyo ya Taifa,
Mwenyekiti Kikwete alihakikisha majina matatu yanarejeshwa. Mawili -
Shaibu na Mohamed - yakiwa ni ya ndugu zake, na mwingine Omar Mhando.
“Mhando hapa aliwekwa kama
msindikizaji kwa sababu kwenye raundi ya kwanza aliangushwa. Kwa kuwa
hakuna mgombea aliyepata nusu ya kura, ikabidi upigaji kura urudiwe.
Ikawa hivyo kwa kupigia majina mawili ya ndugu.
“Kilichofanyika kwenye uenyekiti
ni kuhakikisha majina mawili ya wanandugu hawa yanaingia ili mmoja
achaguliwe. Hilo limewezekana kwa kuchaguliwa Shaibu,” amesema mmoja wa
wanachama.
Habari za uhakika zinasema kwamba
kwenye uchaguzi huo kulikuwa na mvutano mkali kati ya wanandugu, hasa
kutokana na ukweli kwamba Shaibu ni mdogo wa Katibu Msaidizi wa Rais
Kikwete, Alhaji Kassim Mtawa.
“Mvutano ulikuwa mkali kweli kweli
bila kujali kuwa waliokuwa wakigombea ni wanandugu, ulikuwa mchuano wa
miamba,” kimesema chanzo chetu cha habari.
Baada ya uchaguzi huo, siku
iliyofuata wanandugu walikutana katika kikao cha ukoo, kwa ajili ya
kuzika tofauti zilizojitokeza miongoni mwao wakati wa uchaguzi.
Mohamed Kikwete anakaririwa kusema kwamba hakuwa na kinyongo kutokana na kushindwa na Mtawa.
“Aliyeshinda ni mdogo wangu, sina kinyongo,” alikaririwa akisema.
Baadaye kilifanyika kikao cha Halmashauri Kuu kwa ajili ya kumchagua Katibu Uenezi na Katibu wa Uchumi.
“Kabla ya uchaguzi, wapigakura
kadhaa waliwekwa sawa, kuna kina mama walipata khanga, kina baba
wakapata misuli na fedha za usafiri. Wajumbe walikuwa kama 140.
Sikusikia aliyenung’unika kuwa amekosa kitu,” kimesema chanzo chetu.
Katika nafasi ya Katibu Uenezi,
mshindi alikuwa ni ndugu mwingine kutoka ukoo huo huo wa Kikwete,
aliyetajwa kwa jina la John Francis (Boli Zozo).
Kana kwamba hiyo haikutosha,
nafasi ya Katibu Uchumi Wilaya ya Bagamoyo akachaguliwa Iddi Swala. Huyu
ni mjukuu wa Rais Kikwete kwani amezaliwa na mtoto wa dadake Rais.
Ushindi wa Swala umezua gumzo
kubwa hasa kutokana na namna alivyokuwa kiongozi ndani ya Jumuiya ya
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Bagamoyo. Mgombea aliyetajwa
kwa jina moja la Mtiga, aliyeelezwa kuwa na uwezo mkubwa wa uongozi,
alishindwa.
Awali, ndugu mwingine wa Rais
Kikwete aitwaye Yusuf Mrisho Kikwete, alishinda nafasi ya Mwenyekiti wa
CCM Kata ya Dunda, Bagamoyo.
Kuchaguliwa kwa wanaukoo hao,
pamoja na kupita bila kupingwa kwa Ridhiwani Kikwete ambaye ni mtoto wa
Rais Kikwete, kunaifanya Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Bagamoyo iwe na
viongozi wakuu wanne ambao ni ndugu wa damu, pamoja na wajumbe wengine
wa kawaida. Nafasi hizo ni Mwenyekiti, Mjumbe wa NEC Taifa, Katibu wa
Uchumi na Katibu Uenezi.
Hata hivyo, kuwapo kwa wanandugu
hao kungeweza kupanuka zaidi endapo nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Bagamoyo, ingeshikwa na mwanaukoo
mwingine wa Kikwete, Magreth Halfan Kikwete. Magreth kaolewa na mtoto wa
Mzee Seleman Kikwete.
“Huyu wanachama wakasema
haiwezekani, wakaamua kumbwaga maana ilishaonekana sasa chama kinakuwa
cha ukoo tu. Tukaamua kumpa Hapsa Kilingo,” amesema mwanachama mwingine.
Kadhalika, ndugu mwingine wa Rais
Kikwete, Mwanaisha Halfani Kikwete, alipitishwa kugombea Ujumbe Baraza
Kuu/Halmashauri Kuu ya UWT Mkoa wa Pwani.
Wakati hali ikiwa hivyo kwenye
uchaguzi huu unaoelekea ukingoni, mtoto mwingine wa Rais Kikwete,
Khalfan Kikwete ni Mjumbe wa Baraza Kuu Idara ya Chipukizi ya Umoja wa
Vijana wa CCM (UVCCM). Mwenyekiti wa Idara hiyo ni Gabriel Makalla -
mtoto wa Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos
Makalla.
Ushindi wa Ridhiwani, Mama Salma
Kitendo cha Ridhiwani kupita bila
kupingwa kumeacha maswali mengi. Kuna habari kutoka kwa baadhi ya
wanachama kwamba wale waliothubutu kujitokeza kuwania nafasi hiyo
walitishwa, na wao wakatishika.
Wapo wanaosema kwamba kupita kwake
kwa mbinu hiyo kulitokana na hofu ya wajumbe kutokana na ukaribu
alionao na mzazi wake, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Ni woga kama huo uliowaingia pia
wanachama na wapenzi wa CCM katika Wilaya ya Lindi Mjini, walioamua
kusalimu amri na kushuhudia mke wa Rais Kikwete, Mama Salma, akipita
bila kupingwa.
Ridhiwani na ubunge 2015
Watu walio karibu na kijana huyo wanasema kwamba anajiandaa kugombea ubunge Jimbo la Bagamoyo mwaka 2015.
Wanaotoa madai hayo wanatetea hoja
yao kwa kigezo cha namna Kamati ya Wilaya ilivyosukwa kwa kuwa na
viongozi wakuu ambao karibu wote ni ukoo mmoja. Wachunguzi wa mambo
wanasema matumaini ya Mbunge wa sasa wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa,
kuwania nafasi hiyo mwaka 2015 yamefutwa kutokana na kundi lake
kushindwa vibaya katika ngazi karibu zote.
Kwa sasa Dk. Kawambwa ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Jambo jingine ambalo JAMHURI
haijalithibitisha ni kwamba suala la ukabila nalo limekuwa likitawala
kwenye uchaguzi wilayani Bagamoyo, kama ilivyo kwenye uchaguzi wa CCM
katika maeneo mbalimbali nchini.
Dhambi hiyo ndiyo inayomfanya Dk. Kawambwa sasa aonekane kuwa ‘wa kuja” asiyetakiwa na “wazawa”.
Mbona hata Nyerere alipendelea?
Kuna hoja zinazojadiliwa kwenye
mitandao ya kijamii kwamba hata Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,
naye alipendelea ndugu zake wakati akiwa katika uongozi.
Anatajwa Joseph Warioba Butiku, aliyekuwa Katibu Myeka wa kiongozi huyo, kama kielelezo cha Mwalimu kuwabeba ndugu.
Pia anatajwa Joseph Nyerere,
ambaye ni tumbo moja na Mwalimu, aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
kwa muda usiozidi miaka miwili; na pia Katibu wa Umoja wa Vijana wa
TANU.
Baadaye, kuanzia miaka ya 1970 hadi kifo chake miaka ya 1990, Joseph alikuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Butiama.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,
Jenerali David Musuguri, naye anatajwa kama mmoja wa waliopendelewa na
Mwalimu, ingawa kumbukumbu zinaonesha kuwa Janerali huyo alijiunga
katika Jeshi la Kikoloni la KAR kabla ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia
(1939-1945).
Subscribe to:
Posts (Atom)